Archive | Kiswahili

Mungu anaujua moyo wangu

Mungu anaujua moyo wangu

Vayikra / Walawi 21:1-24:23 Yechezkiel / Ezekieli 44:15-31 Kefa Alef / 1Petro 2:4-10 Vayikra {21:1}HaShem akanena na Moshe ,”Nena na Cohanim(makuhani),wana wa Aharon na kuwaambia,Hakuna atakaye jitia unajisi miongoni mwenu kwa ajili ya wafu kati ya watu wake ;{21:2} isipokuwa kwa ajili ya ndugu yake wa karibu,kama em(mamaye),na av(babaye),na mwanawe,na bintiye,na kakaye,{21:3} na dadaye aliye [...]

Read full post »

Posted in 5772, Emor-ks, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah Portion Comments (0)

Baada ya kifo-watakatifu

Baada ya kifo-watakatifu

Vayikra / Walawi 16:1-20-27 Amos/Amosi 9:7-15 Korintim Alef/1 Wakontho 6:9-20 Mattityahu/Mathayo 5:43-48 Vayikra{16:3} Kutokea hapo Aharon atakuja na kuingia Kadosh Kedoshim (Patakatifu Pa Patakatifu) pamoja na fahali kama sadaka ya dhambi na ndume wa kondoo kama (olah) sadaka ya kuteketeza.{16:4} Atavaa koti kadosh (takatifu) ya kitani naye atakuwa na vazi la kitani la ndani juu [...]

Read full post »

Posted in 5772, Acharei-ks, Kedoshim-ks, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah Portion Comments (0)

Shemini -Ya Name

Shemini -Ya Name

Vayikrah / Walawi 9:1-11:47 Yechezkiel / Ezekiel 36:16-38 Ma’asei Talmidim / Matendo Ya Mitume 10:9-22,34-35 Vayikra{9:23} Moshe na Aharon wakaenda kwenye Ohel Moed(Hema ya Kukutania) na kutoka nje na kisha wakawabariki watu:na Shechinah (Uwepo Wa Bwana Wa Kuonekana) ikawatokea watu wote.{9:24} Moto ukatoka mbele ya HaShem,na kuiteketeza olah(sadaka ya kuchomwa) katika mizbeach (madhabahu) pamoja na [...]

Read full post »

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Shemini-ks, Torah Portion Comments (0)

Pesach (Passover) na Hekalu Takatifu

Pesach (Passover) na Hekalu Takatifu

Devarim/Kumbukumbu La Torati 14:22-16:17 Bamidbar/Hesabu 28:19-28:35 Yeshayahu/Isaya10:32-12:6 Korintim Alef/1 Wakorintho 5:6-8 Devarim{16:5} Huta korban(toa sadaka)pesach(mwana kondoo wa pasaka) katika malango yako yote,ambayo Bwana HaShem Mungu wako amekupa wewe;{16:6} bali katika sehemu ambayo Bwana HaShem wako amechagua,ili kufanya Jina lake kukaa humo,hapo ndipo mtakapo korban pesach wkati wa jioni,jua linapo kuchwa,wakati ule mlipotoka katika nchi ya [...]

Read full post »

Posted in 5772, Jewish Holidays and Festivals, Kiswahili, pesach-ks, Torah Portion Comments (0)

Mchanganyiko Wa Watu Wengine

Mchanganyiko Wa Watu Wengine

Shemot/Kutoka 33:12-34:26 BaMidbar /Hesabu 28:19-25 Yechezkiel/Ezekieli 37:1-14 Korintim Alef/Wakorintho Wa Kwanza 5:6-8 Shemot{12:37} Bnei Yisrael(Wana wa Yisrael) walisafiri kutokea Ramses mpaka Sukot,kama watu mia sita elfu,walio kwenda kwa miguu watu wanaume,mbali na watoto.{12:38}Mchanganyiko wa watu wengine ulikwea pamoja nao,pamoja na kondoo,mbuzi,na ng’ombe wengi.{12:39} Walioka unchametz(mkate usio tiwa chachu) mkate wa unga waliotoka nao Mitzrayim(Misri);kwa kuwa [...]

Read full post »

Posted in 5772, Jewish Holidays and Festivals, Kiswahili, pesach-ks, Torah Portion Comments (0)

Kutuvika Na Haki Yake

Kutuvika Na Haki Yake

Vayikra / Walawi 6:1-8:36 Malachi / Malaki 3:4-24 Wayahudi Wamasihi / Waebrania 8:1-6 Vayikra{8:1}HaShem akanena na Moshe nakusema,{8:2}Mchukue aharon na wanawe pamoja naye,na mavazi,na mafuta ya kuweka wakfu,na fahali wa sadaka ya dhambi,na kondoo wawili,na kapu la matzah(mkate usio tiwa chachu);{8:3},na ukusanye kehilah(kusanyiko yote katika lango la Ohel Moed(hema ya kukutania).{18:4}Moshe akafanya kama HaShem alivyomwamuru;na [...]

Read full post »

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah Portion, Tzav, Tzav-ks Comments (0)

Kufumwa na samawati,zambarau na nyekundu

Kufumwa na samawati,zambarau na nyekundu

Vayikra / Walawi 1:1-5:26 Yeshayahu / Isaya 43:21- 44:23 Ivrim / Ebrania 10:1-18 Kama uonavyo tuna parashot mbili za Torah juma hili.Niliyatafuta mambo yaliyohusiana na kuunganisha parashot hizi mbili pamoja.Nachukua nafasi hii kumshukuru Rabbi Yonatan cahn ambaye kupitia mafundisho yake nimefanya tahariri hii. (Kutoka parashah Vayakhel) Shemot{36:35} Akafanya pazia la samawati,zambarau nyekundu,na kitani safi iliyounganishwa:pamoja [...]

Read full post »

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah Portion, Vayikra, Vayikra-ks Comments (0)

HaShem,Wewe Upatianaye Neema Na Hekima

HaShem,Wewe Upatianaye Neema Na Hekima

Shemot / Kutoka 27:20-30:10 Yechezkiel/Ezekiel 43:10-27 Ivrim/WaEbrania 13:10-17 Shemot{28:1}”Mlete Aharon(Haruni) kaka yako,na wanawe pamoja naye,karabu nawe,mbali na bnei Yisrael(wana wa Yisrael,ili anihudumie Mimi katika huduma ya ukuhani,huyo Aharon,Nadav na Avihu,El’azar na Ithamar,wana wa Aharon.{28:2}Utafanya kadosh(takatifu) mavazi ya Aharon kaka yako,kwa kavod(utukufu) na kwa maridadi.{28:3} Utawanenea wote walio na moyo wa hekima,ambao nimewajaza na roho wa [...]

Read full post »

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Tetzaveh-ks, Torah Portion Comments (0)

Terumah / Sadaka

Terumah / Sadaka

Shemot / Kutoka 25:1-27:19 Yeshayahu/Isaya 66:1-24 Mattityahu/Mathayo 5:33-37 Ivrim/WaEbrania 9:1-10 Shemot{25:1}HaShem akanena na Moshe (Musa) na kumwambia,{25:2} nena na b’nei Yisrael (wana wa Yirael),ya kwamba watoe korban(sadaka) kwa ajili Yangu.Kwa awaye yote ambaye moyo wake uradhi kunitolea kwake huyo utanitwalia korban Yangu.{25:3} Hii ndiyo sadaka utayonichukulia kutoka kwao:dhahabu,fedha,shaba,{25:4}samawi,zambarau,nyekundu,kitani safi,manyoya ya mbuzi,{25:5}ngozi ya ndume zilizofanywa nyekundu,ngozi [...]

Read full post »

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Teruma, Terumah-ks, Torah Portion Comments (0)

Agano Ni Kati Yako Na Mungu Wa Yisrael

Agano Ni Kati Yako Na Mungu Wa Yisrael

Shemot / Kutoka 21:1-24:18 Yirmyahu / Yeremia 34:8-22; 33:25-26 Mattityahu / Matayo 5:38-42 Shemot{23:28} Nitawatuma mavu mbele yako,ambao watawafukuza wa Hivi,Wakanaani,na Wa Hiti mbele yako.{23:29}Sitawafukuza mbele zako katika mwaka mmoja,ili nchi isiwe ukiwa,na wanyama wa porini wazidi dhidi yako.{23:30}Kidogo kidogo niwaondosha mbele zako mpaka utakapoongezeka na kuitamalaki nchi.{23:31} Nitaweka mipaka yako kutokea bahari ya Shamu [...]

Read full post »

Posted in 5772, Kiswahili, Mishpatim, Mishpatim-ks, Sefer Shemot (Exodus), Torah Portion Comments (0)

Behar-Bechukotai / פרשת בהר־בחקתי
Torah Portion: Leviticus 25:1-27:34

  • Vayikra 25:1-18 (Sunday)
  • Vayikra 25:19-28 (Monday)
  • Vayikra 25:29-38 (Tuesday)
  • Vayikra 25:39-26:9 (Wednesday)
  • Vayikra 26:10-46 (Thursday)
  • Vayikra 27:1-15 (Friday)
  • Vayikra 27:16-34 (Saturday)
  • Vayikra 27:32-34 (Saturday) Maftir

Haftarah / Prophets

  • Yeremiahu 16:19 - 17:14 (Saturday)

Besorah / Good News

  • Mattityahu / Matthew 22:1-14
Tour to Israel
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד