Archive | Shlach-ks

פרשת השבוע שלח לך

Kutakuwa Na Makundi Mawili Ya Watu

Kutakuwa Na Makundi Mawili Ya Watu

BaMidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / WaEbrania 3:7:4-11 Bamidbar {15:13} Wote walio wazaliwa wa nchini watafanya kulingana na namna hii,katika kutoa sadaka zao za korban (kusongeza) kwa njia ya moto ya harufu nzuri kwa HaShem.{15:14} Kama ger (mgeni) ataenenda nanyi au yeyote akayeishi kati yenu katika vizazi vyenu vyote,na kufanya korban [...]

Read full post »

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shelach, Shlach-ks, Torah Portion Comments (0)

Je,Waweza  Kutosheleza Tamaa Yako?

Je,Waweza Kutosheleza Tamaa Yako?

BaMidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / WaEbrania 3:7:4-11 Bamidbar {13:17} Moshe akawapeleka ili waipeleleze nchi ya Kanaani, akawaambia, Pandeni sasa katika Negev mkapande milimani, {13:18} mkaitazame nchi ni ya namna gani na watu wanaokaa ndani yake, kwamba ni hodari au dhaifu, kwamba ni wachache au wengi; {13:19} na nchi wanayoikaa kwamba [...]

Read full post »

Posted in 5771, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah Portion Comments (0)

Sala ya Muongofu ina Uweza na Mafanikio

Sala ya Muongofu ina Uweza na Mafanikio

Bamidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / Waebrania 3:7-19 Bamidbar {14:11} HaShem alimwambia Moshe, Kwa kitambo gani hawa watu watanidharau Mimi? Na kwa kitambo gani hawatanisadiki Mimi, pamoja na ishara zote nilizozitenda kati yao? {14:12} Nitawapiga na tauni, nakuuondoa urithi wao, na nitakufanya wewe kuwa taifa kuu na lenye uweza kuliko wao. [...]

Read full post »

Posted in 5765, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah Portion Comments (0)

Usiogope ‘Majitu katika Nchi’

Usiogope ‘Majitu katika Nchi’

Bamidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / Waibrania 3:7-19 Je, kuna nafasi ngapi umeziachia zikuponyoke katika maisha yako? Je, ni mara ngapi hukujishurutisha wewe mwenyewe au ulijiondoa usifanye kitu fulani kwa sababu ulifikiria hukuhitimu au kwamba hukuwa na kiwango kinachotakikana? Je, ni mara ngapi ulidhani kwamba kazi iliyopo ni kubwa sana kwa [...]

Read full post »

Posted in 5766, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah Portion Comments (0)

M-ngu Ni Mtumainifu

M-ngu Ni Mtumainifu

Bamidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / Waibrania 3:7-19 Bamidbar {14:1} Kahilah (Jumuiya) yote ya bnei Yisraeli ikaangua kilio kikubwa, watu wwakalia usiku ule, {14:2} Walimlalamikia Moshe na Aharoni: na kahila yote wakisema, “Afadhali tungefia Mitzrayim (Misri)! Afadhali tungefia papahapa jangwani! {14:3}Kwa nini HaShem anatupeleka katika nchi kama hiyo? Tutauawa na upanga, [...]

Read full post »

Posted in 5767, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah Portion Comments (0)

Imani Kwa Matendo Ya Kuthibitishia

Imani Kwa Matendo Ya Kuthibitishia

Bamidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / Waibrania 3:7-4:11 Bamidbar {13:1} HaShem akamwambia Moshe, {13:2} Tuma watu waende wakaipeleleze nchi ya Kanani ambayo ninawapa bnei Yisraeli (wana wa Israeli): Utamtuma mtu mmoja kutoka katika kila kabila la avoti (mababa) wao, na mtu huyo lazima awe kiongozi katika kabila lake. {13:3} Basi, kwa [...]

Read full post »

Posted in 5768, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah Portion Comments (0)

Nani Mungu Alimbariki

Nani Mungu Alimbariki

Bamidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / Waibrania 3:7-19 Bamidbar {13:22} Wakapanda kupitia Negebu hadi wakafika Hebroni, mahali ambapo Ahimani, Sheshai na Talmai, bnei (wana wa) Anaki walipoishi. (Hebroni ulikuwa umejengwa miaka saba kabla ya mji wa Soani ulioko Mitsirayim [Misri].) {13:23} Walipofika katika bonde la Eshkoli, walivunja tawi lililokuwa na kishada [...]

Read full post »

Posted in 5769, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah Portion Comments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד