Devarim / Kumbukumbu Ya Torati 1:1-3:22 Yeshayahu / Isaya 1:1-27 Ma’asei Talmidim / Matendo ya Mitume 7:51-8:4 Devarim {1:1} Haya ni maneno ambayo Moshe aliwanenea Yisraeli (Israeli) yoteng’ambo ya Yardeni (Yordani) jangwani, juu ya Arabah ikitizamana naSufi, kati ya Parani, na Tofeli, na Lavani, na Hazerothi, naDi – zahabu. Devarim, na hasaParasha hii, imeandikwa kwa [...]









