Tag Archive | "avot"

Kuendeleza chuki

Kuendeleza chuki

Bamidbar / Hesabu 1:1-4:20 Hoshea/Hosea 2:1-22 Korintim Alef/1Wakorintho 12:12-20 Bamidbar{3:25}Jukumu la wana wa Gerishoni katika Ohel Moed (Hema ya Kukutania)ni hema yenyewe,paa zake,na pazia ya mlango wake,{3:26}na pazia za nyuani mwake pamoja na pazia ya mlango wa nyua,ambayo imo kati ya hema na mizbeach(madhabahu ya sadaka za kuteketeza) kuizunguka,na kamba zake kwa ajili ya huduma [...]

Posted in 5773, Bamidbar, Bamidbar-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Your final wishes

Your final wishes

Bereshit / Genesis 47:28-50:26 Melachim Aleph / 1 Kings 2:1-12 Kefa Aleph / 1 Peter 1:1-9 Bereshit {47:27} Yisrael (Israel) lived in the land of Mitzrayim (Egypt), in the land of Goshen; and they got themselves possessions therein, and were fruitful, and multiplied exceedingly. {47:28} Ya’akov lived in the land of Mitzrayim seventeen years. So [...]

Posted in 5773, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayechi, Vayechi-enComments (0)

Víra Se Skutky Ji Doprovázejícími

Víra Se Skutky Ji Doprovázejícími

B’midbar / Numeri 13,1-15,41 Y’hoshua / Jozue 2,1-24 Ivrim / Hebreům 3,7-19 Bamidbar {13:1} HaŠem promluvil k Mošemu: {13:2} “Pošli muže, aby prozkoumali kenaanskou zemi, kterou dávám bnei Jisrael (dětem Izraele). Pošlete po jednom muži z jejich avot (otcovských) pokolení, vždy jejich předáka!” {13:2} Moše je tedy na micvu (rozkaz) HaŠem poslal z Páranské pouště. [...]

Posted in 5768, Cesky - Český, Sefer Bamidbar (Numbers), Shelach, Shlach-chz, Torah PortionComments (0)

Kutoa ni Uwakilishaji wa Uaminifu wako

Kutoa ni Uwakilishaji wa Uaminifu wako

Devarim / Kumbukumbu 26:1-29:8 Yeshayahu / Isaya 60:1-22 Uri / Luka 24:44-53 Ni vigumu sana kuhudhuria usharika wowote wa Kimasihi ambao rabbi wake hatoi, na asiyefundisha utoaji wakati fulani fulani. Na nina uhakika hakuna usharika wa Kimasihi ulimwenguni ambao wakati rabbi anatoa ujumbe kuhusu kikumi, kunakua na baadhi katika usharika wajifikiriao wenyewe wakisema; "Haya tena [...]

Posted in 5765, Ki-Tavo-ks, Kiswahili, Sefer Devarim (Deuteronomy), Torah PortionComments (0)

Watu wamoja & Moyo Mmoja

Watu wamoja & Moyo Mmoja

Bamidbar / Hesabu 30:2-32:42 Yermiyahu / Yeremia 1:1-2:3 Pilifim / Wafilipi 3:12-16 Bamidbar {32:1} Sasa bnei (wana wa) Reuven na bnei Gad walikuwa na kundi kubwa la ngombe: na walipoiona nchi ya Yazer, na nchi ya Gilead, na tazama, na sehemu hii ilikuwa sehemu ya ngombe; {32:2} bnei Gad na bnei Reuven walikuja na kuongea [...]

Posted in 5765, Kiswahili, Masei-ks, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Sala ya Muongofu ina Uweza na Mafanikio

Sala ya Muongofu ina Uweza na Mafanikio

Bamidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / Waebrania 3:7-19 Bamidbar {14:11} HaShem alimwambia Moshe, Kwa kitambo gani hawa watu watanidharau Mimi? Na kwa kitambo gani hawatanisadiki Mimi, pamoja na ishara zote nilizozitenda kati yao? {14:12} Nitawapiga na tauni, nakuuondoa urithi wao, na nitakufanya wewe kuwa taifa kuu na lenye uweza kuliko wao. [...]

Posted in 5765, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah PortionComments (0)

Wenye mwili wote watakuja na kuabudu mbele Zangu, asema HaShem

Wenye mwili wote watakuja na kuabudu mbele Zangu, asema HaShem

Bamidbar / Nyikani 1:1-4:20 Hoshea / Hosea 2:1-2:22 Korintim Aleph / 1 Wakorintho 12:12-20 Nilipokuwa nasoma Parsha Bamidbar nilikanganywa jinsi ya kishairi iliyotumika katika kisehemu kilichoelezea kuhesabiwa kwa bnei Yisrael (wana Waisraeli). Kwa hakika kiliandikwa katika hali ya kimashahiri. Sasa hali ya kimashairi inaonekana zaidi katika Kiibrania kuliko katika Kiswahili, hata hivyo bado inaweza kuonekana [...]

Posted in 5765, Bamidbar-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Mtumainie BWANA

Mtumainie BWANA

Bamidbar / Hesabu 1:1-4:20 Shemuel Aleph / 1 Samuel 20:18-42 Hoshea / Hosea 2:1-22 Korintim Aleph / 1 Wakorintho 6:14-18 Parasha hii yote ni kuhusu kuhesabu. Kwanza Moshe (Mose) aliambiwa kuwahesabu wale ambao wangeweza kwenda vitani kuanzia miaka ishirini na kuendelea, na halafu hesabu ilirudiwa wakati Moshe aliambiwa kuyapanga makabila katika mpangilio wa jinsi ya [...]

Posted in 5766, Bamidbar-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Ar Aukojate Už Nusižengimus, Ar Dėkodami

Ar Aukojate Už Nusižengimus, Ar Dėkodami

Devarim / Pakartoto Įstatymo 26:1-29:8 Ješajahu / Izaijo 60:1-22 Ma‘asei Talmidim / Apaštalų darbai 7:30-36 Devarim {26:1} Kai būsi įžengęs į kraštą, kurį HaŠemas, tavo DVas, duoda tau kaip paveldą, ir užėmęs įsikursi jame, {26:2} paimsi pirmienas iš įvairių žemės vaisių, nuimtų pjūties metu iš krašto, kurį HaŠemas, tavo DVas, tau duoda, ir, sudėjęs juos [...]

Posted in 5770, Ki-Tavo-lt, Lithuanian / Lietuvių, Sefer Devarim (Deuteronomy), Torah PortionComments (0)

Galų gale

Galų gale

Devarim / Pakartoto Įstatymo 7:12-11:25 Ješajahu / Izaijo 49:14-51:3 Romim / Romiečiams 8:31-39 Devarim (Pakartoto Įstatymo) {8:1} Visų šių micvot (įsakymų), kurį šiandien tau duodu, turite ištikimai laikytis, kad klestėtumėte ir daugėtumėte bei pajėgtumėte įžengti ir paveldėti kraštą, kurį HaŠemas priesaika pažadėjo jūsų avot (protėviams). {8:2} Atsimink tą ilgą kelią, kuriuo tave vedė HaŠemas, tavo [...]

Posted in 5770, Eikev-lt, Lithuanian / Lietuvių, Sefer Devarim (Deuteronomy), Torah PortionComments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד