Devarim/Kumbukumbu La Torati 14:22-16:17 Bamidbar/Hesabu 28:19-28:35 Yeshayahu/Isaya10:32-12:6 Korintim Alef/1 Wakorintho 5:6-8 Devarim{16:5} Huta korban(toa sadaka)pesach(mwana kondoo wa pasaka) katika malango yako yote,ambayo Bwana HaShem Mungu wako amekupa wewe;{16:6} bali katika sehemu ambayo Bwana HaShem wako amechagua,ili kufanya Jina lake kukaa humo,hapo ndipo mtakapo korban pesach wkati wa jioni,jua linapo kuchwa,wakati ule mlipotoka katika nchi ya [...]











