Tag Archive | "hapa"

HaShem anajua unapodanganya!

HaShem anajua unapodanganya!

Bereshit / Mwanzo 47:28-50:26 Melachim Aleph / 1 Wafalme 2:1-12 Mattityahu / Matthayo 27:57-61 Bereshit {18: 13} HaShem akamwambia Avraham,”Kwa nini Sarah amecheka,akisema,’Nitampakata mtoto kweli katika uzee wangu?” {18:14} Je,kuna lililo gumu la kumshinda HaShem? Katika muda uliokusudiwa nitarudi kwako,wakati kama huu mwakani,naye Sarah atapata motto”. {18:15} Ndipo Sarah alipokana nakusema”Sikucheka,” Naye akamwambia,hapana,umecheka” Kwa nini [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayeira, Vayeira-afComments (0)

Terumah / Sadaka

Terumah / Sadaka

Shemot / Kutoka 25:1-27:19 Yeshayahu/Isaya 66:1-24 Mattityahu/Mathayo 5:33-37 Ivrim/WaEbrania 9:1-10 Shemot{25:1}HaShem akanena na Moshe (Musa) na kumwambia,{25:2} nena na b’nei Yisrael (wana wa Yirael),ya kwamba watoe korban(sadaka) kwa ajili Yangu.Kwa awaye yote ambaye moyo wake uradhi kunitolea kwake huyo utanitwalia korban Yangu.{25:3} Hii ndiyo sadaka utayonichukulia kutoka kwao:dhahabu,fedha,shaba,{25:4}samawi,zambarau,nyekundu,kitani safi,manyoya ya mbuzi,{25:5}ngozi ya ndume zilizofanywa nyekundu,ngozi [...]

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Teruma, Terumah-ks, Torah PortionComments (0)

Imani na tumaini (emunah ve’bitachon)

Imani na tumaini (emunah ve’bitachon)

Bereshit / Mwanzo 12:1-17:27 Yeshayahu / Isaya 40:27-41:16 Romim / Warumi 4:1-12 Avram akamwambia Lot(Lutu),”Tafadhali pasiwepo mavutano kati yangu nawe wala kati ya wachungaji wangu na wako;sisi ni ndugu.{13:9} Je,si nchi yote iko mbele yako?Basi, tafadhali jitenge name.Kama utakwenda kushoto,mimi nitaenda kulia.Kama utakwenda kulia,basi,mimi nitaenda kushoto”.{13:10} Lot akainua macho yake na kuitazama tambarare yote ya [...]

Posted in 5772, Kiswahili, Lech-Lecha-ks, Sefer Bereshit (Genesis), Torah PortionComments (0)

Imani na Vita

Imani na Vita

Devarim / Kumbukumbu 16:18-21:9 Yeshayahu / Isaya 51:12-52:12 Yochanan / Yohana 1:19-27 Devarim {20:1} Utakapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa maana HaShem Mungu wako yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Mitzrayim (Misri). {20:2} Na iwe msongeapo mapiganoni, kuhani akaribie na kusema, [...]

Posted in 5771, Kiswahili, Sefer Devarim (Deuteronomy), Shoftim-ks, Torah PortionComments (0)

Mkuu / Mfalme

Mkuu / Mfalme

BaMidbar/Hesabu 1:1-4:20 Hoshea/Hosea 2:1-22 Korintim Alef/1Wakorintho 12:12-20 Bamidbar{1:1} HaShem akanena na Moshe katika bara ya Sinai,hemani mwa kukutania,siku ya kwanza ya mwezi wa pili,katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Mitzrayim(Misri),akamwambia,{1:2}Fanyeni hesabu ya mkutano wote wa wana wa Yisraeli kwa kuandama jamaa zao,na nyumba ya baba zao,kama hesabu ya majina ilivyo,kila mtu [...]

Posted in 5771, Bamidbar-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Ishi Kwa Upanga Ufe Kwa Upanga

Ishi Kwa Upanga Ufe Kwa Upanga

Shemot / Kutoka 13:17-17:16 Shoftim / Waamuzi 4:4-5:31 Yochanan / Yohana 6:22-40 Shemot {13:17} Ilikuwa hapo Farao alipokwisha kuwaacha watu hao waende zao, HaShem hakuwaongoza kwa njia ya wafilisti, ijapokuwa ilikuwa ni ya karibu; maana HaShem alisema, wasije wakaghairiwatu hawa hapo watakapokutana na vitu, na kurudi Mitzrayim [Misri] {13:18} lakini HaShem akawazungusha hao watu kwa [...]

Posted in 5771, Beshalach-ks, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Torah PortionComments (0)

Inamaansha Nini Kumcha Bwana

Inamaansha Nini Kumcha Bwana

Devarim / Kumbukumbu La Torati 14:22-16:17 Bamidbar / Hesabu 29:35-30:1 Melakhim Alefu / 1 Wafalme 8:54-9:1 Mordekhai / Marko 12:28-34 Shabbati hii ni Shemini Atsereti (Siku ya Nane ya Kusanyiko). Shemini Atsereti, ingawa inaambatanishwa na Sukoti (Sikukuu ya Vibada), siyo sehemu ya Sukoti, bali ni Sikukuu inayojitegemea. Bamidbar (Hesabu) {29:35} Katika siku ya nane mtakuwa [...]

Posted in 5769, Kiswahili, Shemini-Atzeret-ks, Torah PortionComments (0)

Je Uko Tofauti?

Je Uko Tofauti?

Shemot / Kutoka 33:12-34:36 Bamidbar/ Hesabu 28:19-25 Yechezkel / Ezakieli 37:1-14 Korintim Alefu / 1 Wakorintho 5:6-7 Shemot {33:15} Moshe akasema, “Kama uwepo Wako hautakwenda pamoja nami, basi, usituondoe mahali hapa. {33:16} Maana watu watajuaje kuwa nimepata fadhili mbele Yako, mimi na watu wako? Je, ukienda pamoja nasi, si itatufanya mimi na watu wako kuwa [...]

Posted in 5767, Kiswahili, pesach-ks, Torah PortionComments (0)

Kutokutofautishika

Kutokutofautishika

Shemot / Kutoka 33:12-34:26 Bamidbar / Hesabu 28:19-25 Shemuel Bet / 1 Samwel 22:1-51 Yechezekiel / Ezekieli 36:37-37:14 Korintim Aleph / 1 Wakorintho 5:6-8 Siku ya saba ya Pasaka inaangukia siku ya Shabbati mwaka huu. Kwa sababu hiyo tuna somo maalumu la Torati. Kuna mengi ya kubuga kutoka katika kifungu hiki cha Torati; walakini nimelenga [...]

Posted in 5768, Kiswahili, pesach-ks, Torah PortionComments (0)

Kuishi Au Kutokuishi Na Uwepo Wa Mungu

Kuishi Au Kutokuishi Na Uwepo Wa Mungu

Shemot / Kutoka 33:12-34:26 Bamidbar / Hesabu 28:19-25 Yekhezekiel / Ezekieli 36:37-37:14 Korintim Alefu / 1 Wakorintho 5:6-8 Shemot {33:14} HaShem akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa pumziko. {33:15} Kisha Moshe (Mose) akamwambia, “Kama uso wako hauendi pamoja nasi, usituondoe hapa. {33:16} Mtu ye yote atajuaje kuwa mimi pamoja na watu wako tumepata [...]

Posted in 5769, Kiswahili, pesach-ks, Torah PortionComments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד