Tag Archive | "hapana"

HaShem anajua unapodanganya!

HaShem anajua unapodanganya!

Bereshit / Mwanzo 47:28-50:26 Melachim Aleph / 1 Wafalme 2:1-12 Mattityahu / Matthayo 27:57-61 Bereshit {18: 13} HaShem akamwambia Avraham,”Kwa nini Sarah amecheka,akisema,’Nitampakata mtoto kweli katika uzee wangu?” {18:14} Je,kuna lililo gumu la kumshinda HaShem? Katika muda uliokusudiwa nitarudi kwako,wakati kama huu mwakani,naye Sarah atapata motto”. {18:15} Ndipo Sarah alipokana nakusema”Sikucheka,” Naye akamwambia,hapana,umecheka” Kwa nini [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayeira, Vayeira-afComments (0)

Je,Waweza  Kutosheleza Tamaa Yako?

Je,Waweza Kutosheleza Tamaa Yako?

BaMidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / WaEbrania 3:7:4-11 Bamidbar {13:17} Moshe akawapeleka ili waipeleleze nchi ya Kanaani, akawaambia, Pandeni sasa katika Negev mkapande milimani, {13:18} mkaitazame nchi ni ya namna gani na watu wanaokaa ndani yake, kwamba ni hodari au dhaifu, kwamba ni wachache au wengi; {13:19} na nchi wanayoikaa kwamba [...]

Posted in 5771, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah PortionComments (0)

Kaeni Nchini Na Washindeni Maadui Wa Mungu

Kaeni Nchini Na Washindeni Maadui Wa Mungu

Devarim / Deuteronomy 29:9-31:30 Yeshayahu / Isaya 61:10-63:9 Romim / Warumi 7:7-12 Katika Parasha Nitzavim HaShem anaweka wazi kwamba kama bnei Yisraeli, na kusema kweli hata sisi sote kama tutazifuata mitsivoti (amri) Zake zote kama vile alivyoziweka, basi mambo yote yataenda sawa katika maisha. Devarim {29:29} Mambo ya siri ni ya HaShem Mungu wetu, bali [...]

Posted in 5769, Kiswahili, Nitzavim-ks, Sefer Devarim (Deuteronomy), Torah Portion, Vayelech-ksComments (0)

Kipi Ni Chakula Cha M-ngu

Kipi Ni Chakula Cha M-ngu

Bamidbar / Hesabu 25:10-30:1 Melakhim Alefu / 1 Wafalme 18:46-19:21 Yokhanan / Yohana 2:13-25 Bamidbar {28:1} HaShem alimwambia Moshe, {28:2} Waamuru bnei Yisraeli ifuatavyo: Nyinyi mtanitolea kwa wakati wake dhabihu zitakiwazo: vyakula vya kuteketezwa kwa moto, vyenye harufu nzuri ya kupendeza. Je, M-ngu anahitaji kula? Je, Anashikwa na njaa? Kwa hakika hapana, na hata kama [...]

Posted in 5768, Kiswahili, Pinchas-ks, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Masalio ya Israeli

Masalio ya Israeli

Shemot / Kutoka 25:1-27:19 Melachim Aleph / 1 Wafalme 5:26-6:13 Mattityahu / Matayo 5:33-37 Shemot / Kutoka {25:1} "HaShem akamwambia Moshe (Mose), {25:2} "Waambie bnei Yisraeli (wana wa Israeli), kwamba wanitolee Mimi Terumah (Matoleo ya kuinuliwa / michango), nawe upokee kwa niaba Yangu. Utapokea Terumah Yangu kutoka kwa mtu yeyote atakayetoa kwa moyo mkunjufu.{25:3}Hii ni [...]

Posted in 5766, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Terumah-ks, Torah PortionComments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד