
Devarim/Kumbukumbu La Torati 14:22-16:17 Bamidbar/Hesabu 28:19-28:35 Yeshayahu/Isaya10:32-12:6 Korintim Alef/1 Wakorintho 5:6-8 Devarim{16:5} Huta korban(toa sadaka)pesach(mwana kondoo wa pasaka) katika malango yako yote,ambayo Bwana HaShem Mungu wako amekupa wewe;{16:6} bali katika sehemu ambayo Bwana HaShem wako amechagua,ili kufanya Jina lake kukaa humo,hapo ndipo mtakapo korban pesach wkati wa jioni,jua linapo kuchwa,wakati ule mlipotoka katika nchi ya [...]

Shemot / Kutoka 13:17-17:1 Shoftim / Waamuzi 4:4-5:31 Yochanan / Yohana 6:22-40 Shemot {17:8} Ndipo Amaleki walipo kuja na kupigana na Yisrael huko Refidimu.{17:9} Moshe(Musa) akamwambia Yehoshua(Yoshua),”Chagua watu kwa ajili yetu wakaoenda vitani kutupigania dhidi ya Amaleki.Kesho nitasimama juu yam lima,nikiwa na fimbo ya Mungu mkononi mwangu.{17:10} Basi Yehoshua akafanya kama Moshe alivyomwagiza,na akapigana na [...]

Shemot / Kutoka 1:1-6:1 Yeshayahu / Isaya 27:6-28:13, 29:22-23 Ma’asei Hashlichim / Mitume 7:17-29 Shemot {3:11}Moshe akamwambia HaShem,”Mimi ni nani hata nimwendee Farao,ili niweze kuwatoa bnei Yisrael(wana wa Yisrael) katika nchi ya Mitzrayim(misri)?”{3:12}Aksema,”Hakika niko pamoja nawe.Hii itakuwa ni ishara kwako yakuwa nimekutuma:Utakapo watoa watu katika nchi ya Mitzrayim,mtamuabudu HaShem katika mlima huu.” Nimeona hili likiwa [...]

Devarim / Kumbukumbu 26:1-29:8 Yeshayahu / Isaya 60:1-22 Ma’asei Talmidim / Matendo Ya Mitume 7:30-36 Kuna mambo muhimu yakutajwa katika Parashah hii.Baadhi ya mambo hayo nimeshataja katika Parashot zilizo pita.Hata hivyo,naona mambo hayo yana faa kurudiwa japo kwa ufupi,kabla ya kuendelea mbele nay a ambayo HaShem ameyatia moyoni mwangu mmwaka huu. Devarim{26:2} ya kwamba utayachukua [...]

BaMidbar / Hesabu 16:1-18:32 Sh’muel / 1Samuel 11:14-12:22 Romim / Warumi 13:1-7 Katika Parashah ya juma lililopita tulikuwa na mfano wa jinsi hali au tabia yetu isivyo ya ukamilifu na isiyoweza kuridhika au kuridhishwa-hata tukipewa nini! Tulifunuliwa jambo hili katika hali ya kufichika sana katika ile habari ya wale wapelelezi. Lakini katika Parashah ya juma [...]

BaMidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / WaEbrania 3:7:4-11 Bamidbar {13:17} Moshe akawapeleka ili waipeleleze nchi ya Kanaani, akawaambia, Pandeni sasa katika Negev mkapande milimani, {13:18} mkaitazame nchi ni ya namna gani na watu wanaokaa ndani yake, kwamba ni hodari au dhaifu, kwamba ni wachache au wengi; {13:19} na nchi wanayoikaa kwamba [...]

VaYikra / Walawi 25:1-26:2 Yirmeyahu / Yeremia 32:6-27 Uri / Luka 4:16-21 Vayikra {25:17} Msipunjane, bali, mtamcha M-ngu wenu, Mimi ndimi HaShem, M-ngu wenu. Vayikra {25:35} Kama ndugu yako amekuwa maskini hata asiweze kujitunza mwenyewe akiwa pamoja nawe, ni lazima umtunze aendelee kuishi nawe; mtendee kama mgeni au msafari aliye kwako. {25:36}Usimtake akulipe riba ya [...]

Bamidbar / Hesabu 19:1-22:1 Shoftim / Waamuzi 11:1-33 Yokhanan / Yohana 3:10-21 Bamidbar {20:23} Basi, HaShem akamwambia Moshe (Musa) na Aharoni (Haruni) huko kwenye Hari (Mlima) Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu, {20:24} Aharoni atakufa; hataingia katika nchi ambayo nimewapa bnei Yisraeli (wana wa Israeli), kwa sababu nyinyi wawili mliasi neno Langu kule kwenye maji [...]

Bereshit / Mwanzo 21:1-34 Bamidbar / Hesabu 29:1-6 Shemuel Alef / 1 Samweli 1:1-2:10 Tesolonikim Alef / 1 Wathesalonika 4:13-18 Yom Terua, siku ya kupuliza Shofari, inaangukia siku ya Shabbati mwaka huu. Hivyo kuna somo maalumu la Torati Shabbati hii, ambalo halihusiani na mzunguko wa masomo wa kawaida wa Torati. Marabi walishirikisha Yom Terua na [...]

Devarim / Kumbukumbu 14:22-16:17 Bamidbar / Hesabu 28:26-31 Khavakkuk / Habakuki 3:1-19 Ma’asei Talmidim / Matendo ya Mitume 2:1-21 Hii ni Parasha maalumu kwa sababu ya Khag Shavuoti (Sikukuu ya Majuma / Pentekoste), ambayo inaangukia siku ya Shabbati mwaka huu. Shavuoti ni mojawapo ya “Sheloshi Regelim,” (Sikukuu tatu za kuhiji). Wanaume wote walitakiwa kuonekana mbele [...]