Tag Archive | "kumi"

Yerusalem Mpya Na Milango Kumi Na Mbili

Yerusalem Mpya Na Milango Kumi Na Mbili

Shemot / Kutoka 35:1-40:38 Melachim Alef/1 Wafalme 7:51-8:21 Ivrim/WaEbrania 9:1-11 Korintim Bet/2 Wakorintho 3:7-18 Shemot {39:2} Alifanya efodi ya dhahabu,samawati,zambarau,nyekundu,na kitani safi iliyo unganishwa.{39:3} Waliiponda dhahabu katika vijisahani vyembamba,na kuikata kata kuwa waya.ili kuifanyia kazi kwa samawati,nazambarau,na nyekundu,na katika kitani safi,kazi ya mtenda kazi stadi. {39:4} Wakafanya vipande vya bega lake na kuviunganisha pamoja.Katika miisho [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Pekudei, Pekudei-ks, Sefer Shemot (Exodus), Torah Portion, Vayakhel, Vayakhel-ksComments (0)

Kukuepusha  Na  Janga Kubwa

Kukuepusha Na Janga Kubwa

Shemot / Kutoka 13:17-17:16 Shoftim/Waamuzi-4:4-5:31 Kukuepusha Na Janga Kubwa Shemot{13:17} Ikawa Farao alipowaachilia watu waende,ya kwamba HaShem hakuwaelekeza kwenye njia iliyopitia katika ardhi walimoishi Wafilisti,ingawaje njia hiyo ndiyo iliyokuwa fupi;kwa kuwa Mungu alisema,”Watu wasije wakabadili nia yao punde waonapo vita,na kurudi Mitzrayim(Misri).”{13:18} Basi Mungu aliwapitishia watu njia ya mzunguko ya nyikani ipitiayo bahari ya shamu. [...]

Posted in 5773, Beshalach-ks, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Torah PortionComments (0)

Mashiach ben Yosef (mwana wa)

Mashiach ben Yosef (mwana wa)

Bereshit/Mwanzo 47:28-50:26 Melachim Aleph/1 Wafalme 2:1-12 Kefa Aleph/Petro 1:1-9 Bereshit{47:27} Yisrael akakaa katika nchi ya Mitzrayim(Misri),katika sehemu ya Gosheni;na wakajipatia mali nyingi humo,wakazaana na kuongezeka mno.{47:28} Ya’acov alikaa katika Mitzrayim miaka kumi na saba.Basi,siku za Ya’acov,yani miaka aliyoishi,ilikuwa mia moja na arubaini na saba.{47:29} Muda ulikaribia ambapo lazima Yisrael angelilala mauti,naye akamwita mwanaye Yosef(Yusufu) na [...]

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayechi, Vayechi-ksComments (0)

Siku ya nane ya Israeli

Siku ya nane ya Israeli

Vayikra / Walawi 26:3-27:34 Yirmeyahu / Yeremiah 16:19-17:14 Mattityahu / Matayo 22:1-14 Wiki ilyopita niliongelea kuhusu namba saba na maana yake kimaandiko. Nilisema kwamba namba saba katika Maandiko inawakilisha namba ya M-NGU, namba ya ukamilisho. Unaweza kufahamu jinsi nilivyoshangazwa kuiona namba hii ilivyotumiwa mara nyingi katika Parsha Bechukotai kuhusiana na adhabu, mapatilizo, na mauti: Vayikra [...]

Posted in 5765, Bechukotai-ks, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah PortionComments (0)

Siku ya Sabato, Mwaka wa Sabato, Jubilei

Siku ya Sabato, Mwaka wa Sabato, Jubilei

Vayikra / Walawi 25:1-26:2 Yirmeyahu / Yeremiah 32:6-37 Uri / Luka 4:16-21 Korintim Bet / II Wakorintho 6:14-18 Waaminio Biblia mara zote wametia maanani umuhimu wa namba saba kama inavyotumika katika Maandiko. Hakika namba saba ina umuhimu sana, hasa kwa sababu ni namba ya M-NGU, namba ya ukamilifu, namba ya kumalizia, namba ya kupumzika. Hivi [...]

Posted in 5765, Behar-ks, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah PortionComments (0)

Tazama Mema Ya Viongozi Na Siyo Mabaya

Tazama Mema Ya Viongozi Na Siyo Mabaya

Bamidbar / Hesabu 16:1-18:32 Shemuel Alefu / 1 Samwel 11:14-12:22 Ma’asei Talmidim / Matendo Ya Mitume 5:1-11 Bamidbar {16:1} Baadaye Korakhi bin Izhari, bin Kohathi, bin Levi, akatwaa watu pamoja na watu watatu wa ukoo wa Reuveni: Datani na Abiramu, bnei (wana wa) Eliabu, na Oni, bin Pelethi,{16:2} hao wote waliungwa mkono na viongozi mashuhuri [...]

Posted in 5768, Kiswahili, Korach-ks, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

M-ngu Ni Mtumainifu

M-ngu Ni Mtumainifu

Bamidbar / Hesabu 13:1-15:41 Yehoshua / Yoshua 2:1-24 Ivrim / Waibrania 3:7-19 Bamidbar {14:1} Kahilah (Jumuiya) yote ya bnei Yisraeli ikaangua kilio kikubwa, watu wwakalia usiku ule, {14:2} Walimlalamikia Moshe na Aharoni: na kahila yote wakisema, “Afadhali tungefia Mitzrayim (Misri)! Afadhali tungefia papahapa jangwani! {14:3}Kwa nini HaShem anatupeleka katika nchi kama hiyo? Tutauawa na upanga, [...]

Posted in 5767, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Shlach-ks, Torah PortionComments (0)

Kutakaswa kwa Mwenye Dhambi

Kutakaswa kwa Mwenye Dhambi

Bamidbar / Hesabu 8:1-12:16 Zecharya / Zekaria 2:12-4:7  Korintim Aleph / 1 Wakorintho 10:6-13 Bamidbar / Hesabu {8:6} Wachukue Wa-Leviim (Walawi) kati ya Bnei Yisrael (wana Waisrael), na uwa-tahor (uwatakase) wao. {8:7} hivi ndivyo utakavyofanya kwao, ili wawe tahor: wanyunyizie maji ya kitubio juu yao, na hakikisha wanapitisha wembe juu ya miili yao kujinyoa, na [...]

Posted in 5765, Behaalotecha-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Olam Haba Matuzo Na Hukumu

Olam Haba Matuzo Na Hukumu

Bamidbar / Hesabu 4:21-7:89 Shoftim / Waamuzi 2:1-22 Yochanan / Yohana 12:20-36 Bamidbar {7:11} HaShem alimwambia Moshe, Kila siku kiongozi mmoja atatoa matoleo yake kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu. {7:12} Basi, yule aliyetoa korbani (kusogea karibu / dhabihu) yake siku ya kwanza, alikuwa Nashoni bin Aminadabu, wa kabila la Yehuda (Yuda): {7:13} Korbani yake [...]

Posted in 5768, Kiswahili, Naso-ks, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Tuko Kama Alivyo

Tuko Kama Alivyo

Bereshit / Mwanzo 47:28-50:26 Melachim Aleph / 1 Wafalme 2:1-12 Kefa Aleph / 1 Petro 1:3-9 Bereshit {48:8} Israeli (Yakobo) alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, "Ni akina nani hawa?" {48:9} Yosefu akamjibu ‘ab (baba) yake, "Hawa ni wanangu alionijalia M-ngu nikiwa huku." Israeli akasema, "Tafadhali walete karibu nipate kuwabariki." Je, unaona kitu chochote kisicho cha [...]

Posted in 5768, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayechi-ksComments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד