Vayikra / Walawi 25:1-27:34 Yirmeyahu / Jeremia 16:19-17:14 Mattityahu / Mathayo 22:1-14 Vayikra{26:3} Kama mtaenenda katika Maagizo Yangu,na kuzitunza Mitzvoth (Amri) Zangu,na kuzifanya;{26:4} ndipo nitakapo wapa mvua katika muda wake,nayo arthi itazaa kwa wingi,nayo miti ya kondeni itazaa matunda yake.{26:5}mlicho vuna kitakaa mpaka wakati wa mavuno mapya,nayo mavuno mapya yatakaa mpaka wakati wa kupanda mbegu;nanyi [...]









