Shemot/Kutoka 33:12-34:26 BaMidbar /Hesabu 28:19-25 Yechezkiel/Ezekieli 37:1-14 Korintim Alef/Wakorintho Wa Kwanza 5:6-8 Ingawaje Parashah hii inastahili kusomwa katika Kol Moed(Siku za katikati za Pesach),somo la juma hili lina fungu moja tu fupi la kuhusu Pesach/Hag HaMatzah (Siku za Mikate isiyotiwa Chachu): Hiyo idi ya matzah( mikate isiyotiwa chachu )utaitunza.Utakula matzah(mikate isiyotiwa chachu) muda wa siku [...]









