Shemot / Kutaka 17:1-20:23 Yeshayahu/Isaya 6:1-7:6;9:5-6 Mattityahu/Matayo 5:17-32 Ivrim/WaEbrania 12:18-24 Shemot {18:5} Yitro,baba mkwe wa Moshe,alikuja akiwa na wana wa Moshe pamoja na mke wa Moshe,bintiye Yitro hadi kule nyikani ambako Moshe alikuwa amekita hema,katika Mlima wa Mungu.{18:6} Akamwambia Moshe,mimi mkweo Yitro,nimekujia wewe na mkeo pamoja na wanawe wawili. Sote tunajua kuwa Moshe na mkewe [...]









