
Bereshit / Mwanzo 25:19-28:9 Malachi 1:1-2:7 Romim/Warumi 9:1-13 Bereshit {25:21} Yitzchak(Isaka) akamsihi HaShem kwa ajili ya mkewe,kwa kuwa alikuwa tasa.HaShem akasikia kilio cha Yitzchak kwa ajili ya mkewe Rivkah(Rabeka),naye akatunga mamba.{25:22} Watoto wakashindana tumboni mwake.Akasema,”Ya nini kuishi kama mambo ni haya?”Akamtaka HaShem kumjuza kuhusu mambo yale.{25:23} HaShem akamwambia,”Mataifa mawili yamo ndani ya tumbo lako,watu hawa [...]

Vayikra / Walawi 25:1-26:2 Yirmeyahu / Yeremiah 32:6-37 Uri / Luka 4:16-21 Korintim Bet / II Wakorintho 6:14-18 Waaminio Biblia mara zote wametia maanani umuhimu wa namba saba kama inavyotumika katika Maandiko. Hakika namba saba ina umuhimu sana, hasa kwa sababu ni namba ya M-NGU, namba ya ukamilifu, namba ya kumalizia, namba ya kupumzika. Hivi [...]

Devarim / Kumbukumbu La Torati 21:10-25:19 Yeshayahu / Isaya 54:1-10 Korintim Alefu / 1 Wakorintho 5:1-5 Devarim {21:10} Mkienda vitani kupigana na adui zenu naye HaShem Mungu wenu akawatia adui mikononi mwenu, nanyi mkachukua mateka, {21:11} kama ukiona miongoni mwa mateka mwanamke mzuri wa sura nawe wavutwa naye, waweza kumwoa akawa mke wako; {21:12} Mlete [...]

Vayikra / Walawi 12:1-15:33 Yesha’yahu / Isaya 66:1-24 Melachim Bet / 2 Wafalme 4:42-5:19, 7:3-20 Mattityahu / Mathayo. 8:1-4, 23:16-24:2, 30-31 Mishkan (Hema la Kukutania) na baadaye Bet HaMikdash (Hekalu) zilikuwa ni moyo wa maisha ya bnei Yisrael (wana wa Israeli). Ziliainisha wao ni nani kwa M-ngu wamuabudio, na kwa jinsi walivyomuabudu Yeye. Ilikuwa ni [...]

Vayikra / Walawi 1:1-5:26 Yeshayahu / Isaya 43:21-44:23 Ivrim / Waibrania 10:1-18 Vayikra{3:3} Matamtolea korbani (kusogelea karibu / dhabihu) za Shalom (Amani) kama dhabihu za kuteketezwa kwa HaShem; na mafuta yote yanayofunika ndani na mafuta yote yaliyopo sehemu za ndani, {3:4} na figo mbili, na mafuta yaliyo juu yake, yaliyopo sehemu za kiunoni, na yanayofunika [...]