BaMidbar/Hesabu 25:10-30:1 Melachim Aleph/1Wafalme 18:46-19:21 Yochanan/Yohana 2:13-25 Bamidbar {27:15} Moshe akanena na HaShem na kusema, {27:16} HaShem, Mungu wa wenye miili wote, na aweke juu ya Kusanyiko, {27:17} atakayetoka yake na kuingia mbele yake; atakayeliongoza litokapo na kulileta ndani; ili Kehilah ya HaShem (kusanyiko) lisiwe kama kondoo wasio na Mchungaji. {27:18} HaShem akamwambia Moshe, Mtwae [...]









