Bamidbar / Hesabu 1:1-4:20 Hoshea/Hosea 2:1-22 Korintim Alef/1Wakorintho 12:12-20 Bamidbar{3:25}Jukumu la wana wa Gerishoni katika Ohel Moed (Hema ya Kukutania)ni hema yenyewe,paa zake,na pazia ya mlango wake,{3:26}na pazia za nyuani mwake pamoja na pazia ya mlango wa nyua,ambayo imo kati ya hema na mizbeach(madhabahu ya sadaka za kuteketeza) kuizunguka,na kamba zake kwa ajili ya huduma [...]









