Vayikra / Walawi 16:1-20-27 Amos/Amosi 9:7-15 Korintim Alef/1 Wakontho 6:9-20 Mattityahu/Mathayo 5:43-48 Vayikra{16:3} Kutokea hapo Aharon atakuja na kuingia Kadosh Kedoshim (Patakatifu Pa Patakatifu) pamoja na fahali kama sadaka ya dhambi na ndume wa kondoo kama (olah) sadaka ya kuteketeza.{16:4} Atavaa koti kadosh (takatifu) ya kitani naye atakuwa na vazi la kitani la ndani juu [...]











