Devarim/Kumbukumbu 32:1-52 Hoshea/Hosea 14:2-10 Yoel/Yoeli 2:11-27 Micha/Mika 7:18-20 Romim/Warumi 10:14-11:12 Devarim{32:1} Tegeni masikio enyi mbingu,nami nitazungumza;Dunia na isikilize maneno ya kinywa change.{32:2} Mafundisho yangu yatashuka kama mvua;maneno yangu yatatonatona kama umande,kama mvua nyepesi juu ya majani mwororo,kama manyunyu juu ya mboga.{32:3} Kwakuwa nitalitangaza jina la HaShem:Mpatieni Bwana Mungu wetu ukuu wake.{32:4} Ni Mwamba,Kazi yake ni [...]









