Tag Archive | "tabia"

Kama Tu Ningali…

Kama Tu Ningali…

BaMidbar / Hesabu 16:1-18:32 Sh’muel / 1Samuel 11:14-12:22 Romim / Warumi 13:1-7 Katika Parashah ya juma lililopita tulikuwa na mfano wa jinsi hali au tabia yetu isivyo ya ukamilifu na isiyoweza kuridhika au kuridhishwa-hata tukipewa nini! Tulifunuliwa jambo hili katika hali ya kufichika sana katika ile habari ya wale wapelelezi. Lakini katika Parashah ya juma [...]

Posted in 5771, Kiswahili, Korach, Korach-ks, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

M-ngu Alijua Kabla

M-ngu Alijua Kabla

Mwanzo 13:17-17:16 Waamuzi 4:4-5:31 Yohana 6:22-40 Shemot {13:17} Wakati Farao alipowaachia Bnei Yisraeli waende zao, M-ngu hakuwaongoza kupitia katika nchi ya Wafilisti, ingawa njia hiyo ilikuwa ni ya karibu; M-ngu alisema “Isije ikawa watu hawa wakabadilisha nia zao na kurudi Mitzrayim (Misri) wakati wakiiona vita; ” {13:18} bali M-ngu aliwapitisha watu katika njia ya muzunguko [...]

Posted in 5767, Beshalach-ks, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Torah PortionComments (0)

Achilia!

Achilia!

Bereshit / Mwanzo 1:1-6:8 Yeshayahu / Isaya 42:5-43:10 Yochanan / Yohana 1:1-5 Bereshit {2:4} Hii ni historia ya vizazi vya mbingu na dunia zilipoumbwa. Siku ile HaShem M-ngu alipoziunda mbingu na dunia, {2:5} Hapakuwa na mimea juu ya nchi wala majani hayakuwa yamechipua kwani HaShem M-ngu hakuwa ameifanya mvua inyeshea nchi. Hapakuwa na ish (mtu) [...]

Posted in 5768, Bereishit-ks, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah PortionComments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד