Bereshit / Mwanzo 25:19-28:9 Malachi 1:1-2:7 Romim/Warumi 9:1-13 Bereshit {25:21} Yitzchak(Isaka) akamsihi HaShem kwa ajili ya mkewe,kwa kuwa alikuwa tasa.HaShem akasikia kilio cha Yitzchak kwa ajili ya mkewe Rivkah(Rabeka),naye akatunga mamba.{25:22} Watoto wakashindana tumboni mwake.Akasema,”Ya nini kuishi kama mambo ni haya?”Akamtaka HaShem kumjuza kuhusu mambo yale.{25:23} HaShem akamwambia,”Mataifa mawili yamo ndani ya tumbo lako,watu hawa [...]









