Tag Archive | "wao"

Viongozi inawapasa kuwa mfano bora

Viongozi inawapasa kuwa mfano bora

BaMidbar/Hesabu 8:1-12:16 Zecharya/Zakaria 2:14-4:7 Korintim Alef/1Wakorintho 10:6-13 Bamidbar{8:9} Utawaleta Leviim(Walawi) mbele ya Ohel Moed(Heme ya kukutania):na utakusanya kehilah (kusanyiko) yote ya bnei Yisrael(wana wa Yisrael):{8:10} nawe utawaonyesha Leviim mbele za HaShem.Bnei Yisrael wataweka mikono yao juu ya Leviim:{8:11} na Aharon atawatoa Leviim kama sadaka mbele za HaShem kama sadaka ya kutikisa kwa niaba ya bnei [...]

Posted in 5773, Beha'alotecha, Behaalotecha-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Haitutegemei Sisi

Haitutegemei Sisi

BaMidbar / Hesabu 19:1-22:1 Yeshayahu / Isaya 11:1-33 Yochanan / Yohana 3:10-21 Bamidbar {20:7} HaShem akasema na Moshe (Musa), akinena, {20:8} Twaa ile fimbo, ukawakusanye mkutano, wewe na Aharon (Haruni) ndugu yako, ukauambie mwamba mbele ya macho yao utoe maji yake, nawe utawatokezea maji katika mwamba, na hivyo utawanywesha maji mkutano na wanyama wao. {20:9} [...]

Posted in 5771, Chukat, Chukat-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Wenda Wazimu Uko Karibu Kuliko Tunavyodhani

Wenda Wazimu Uko Karibu Kuliko Tunavyodhani

Vayikra / Walawi 25:1-26:2 Yirmeyahu / Yeremia 32:6-27 Uri / Luka 4:16-21 Vayikra{25:25}Kwamba nduguyo amekuwa maskini na kuuza sehemu ya milki yake,ndipo jamaa yake aliye karibu naye atakuja,naye ataikomboa ile aliyoiuza nduguye.{25:26}Na kama mtu hana atakayeikomboa,naye mwenyewe amepata mali na kujiona kuwa anayo ya kutosha kuikomboa;{25:27}ndipo na aihesabu hiyo miaka ya kuuzwa kwake,na kilichozidi kumrudishia [...]

Posted in 5771, Behar-ks, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah PortionComments (0)

Kama Makuhani

Kama Makuhani

Vayikra/Walawi 21:1-24:23 Yechezkiel/Ezekieli 44:15-31 Kefa Alef/Petro Wa Kwanza 2:4-10 Vayikra{21:1}Kisha HaShem akamwambia Moshe(Musa),Nena na hao makuhani,wana wa Aharon(Haruni),uwaambie,Mtu asijinajisi kwa ajili ya wafu katika watu wake;{21:2} ispokuwa ni kwa ajili ya jamaa yake wa karibu,kwa ajili ya mama yake,na kwa ajili ya baba yake,na kwa ajili ya mwanawe,na kwa ajili ya binti yake,na kwa ajili [...]

Posted in 5771, Emor-ks, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah PortionComments (0)

Mdahara ya Dhambi

Mdahara ya Dhambi

Vayikra / Walawi 1:1-5:26 Devarim / Kumbukumbu ya Torati 25:17-19 Sh’muel Aleph / 1 Samuel 15:2-34 Messianic Jews / Ebrania 10:1-18 Vayikra/ Walawi{1:1} HaShem (BWANA) akamwitia Moshe (Musa), na akamnenea toka katika Hema la Kukutania, akisema, {1:2} “Sema na bnei Yisrael, na uwaambie, ”Wakati yeyote kati yenu anatoa korban (kusogea karibu) kwa HaShem, utatoa matoleo [...]

Posted in 5765, Magyar, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah Portion, Vayikra, Vayikra-mgComments (0)

Hamshiach Pekee Ndiye Awezaye Kuitoa

Hamshiach Pekee Ndiye Awezaye Kuitoa

Shemot / Kutoka 10:1-13:16 Yirmyahu / Yeremia 46:13-28 Korintim Alef / Wakorintho 11:20-34 Yochanan Alef [Waraka wa kwanza wa Yohana] {2:18} watoto ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Meshiach yuaja, hata sasa wapinga Mashiach wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho. Yochana Alef {4:3} Na [...]

Posted in 5771, Bo-af, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Torah PortionComments (0)

Kuathirika Sasa Na Badaye

Kuathirika Sasa Na Badaye

Vayikra / Walawi 25:1-27:34 Yirmeyahu / Jeremia 16:19-17:14 Mattityahu / Mathayo 22:1-14 Somo la Torati la wiki lina sehemu mbili, mimi nimechagua kuelezea tu juu ya Bakhukotai. Ilinisikitisha baada ya kumaliza kusoma sehemu ya kwanza ya Parasha Bekhukotai, sehemu ambayo HaShem aliwatahadharisha bnei Yisraeli (wana wa Israeli) juu ya kuathirika iwapo watachagua kutozitii mitsivoti (amri) [...]

Posted in 5769, Bechukotai-ks, Behar-ks, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah PortionComments (0)

Je Uko Tofauti?

Je Uko Tofauti?

Shemot / Kutoka 33:12-34:36 Bamidbar/ Hesabu 28:19-25 Yechezkel / Ezakieli 37:1-14 Korintim Alefu / 1 Wakorintho 5:6-7 Shemot {33:15} Moshe akasema, “Kama uwepo Wako hautakwenda pamoja nami, basi, usituondoe mahali hapa. {33:16} Maana watu watajuaje kuwa nimepata fadhili mbele Yako, mimi na watu wako? Je, ukienda pamoja nasi, si itatufanya mimi na watu wako kuwa [...]

Posted in 5767, Kiswahili, pesach-ks, Torah PortionComments (0)

Hakuna Kipya Katika ‘agano’ Jipya!

Hakuna Kipya Katika ‘agano’ Jipya!

Devarim / Kumbukumbu ya Torati 32:1-52 Hoshea / Hosea 14:2-10 Yo’el / Yoeli 2:11-27 Mikhah / Mika 7:18-20 Romim / Warumi 10:14-11:12 Katika Parasha ya wiki hii Moshe anaimba nyimbo nzito kuhusu upeo wa mbeleni wa bnei Yisraeli (wana wa Israeli). Maneno yake yanatoa unabii juu ya shingo zao ngumu na mioyo yao migumu, ambayo [...]

Posted in 5766, Haazinu-ks, Kiswahili, Sefer Devarim (Deuteronomy), Torah PortionComments (0)

Uko Bado Dhambini

Uko Bado Dhambini

Devarim / Kumbukumbu La Torati 32:1-52 Hoshea / Hosea 14:2-10 Yoel / Joeli 2:11-27 Mikha / Mika 7:18-20 Romim / Warumi 10:14-11:12 Devarim {32:1} Sikilizeni, enyi mbingu, nami nitasema, sikia ee nchi, maneno ya kinywa changu. {32:2} Mafundisho yangu na yanyeshe kama mvua na maneno yangu na yashuke kama umande, kama manyunyu juu ya majani [...]

Posted in 5769, Haazinu-ks, Kiswahili, Sefer Devarim (Deuteronomy), Torah PortionComments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד