Tag Archive | "yake"

Viongozi inawapasa kuwa mfano bora

Viongozi inawapasa kuwa mfano bora

BaMidbar/Hesabu 8:1-12:16 Zecharya/Zakaria 2:14-4:7 Korintim Alef/1Wakorintho 10:6-13 Bamidbar{8:9} Utawaleta Leviim(Walawi) mbele ya Ohel Moed(Heme ya kukutania):na utakusanya kehilah (kusanyiko) yote ya bnei Yisrael(wana wa Yisrael):{8:10} nawe utawaonyesha Leviim mbele za HaShem.Bnei Yisrael wataweka mikono yao juu ya Leviim:{8:11} na Aharon atawatoa Leviim kama sadaka mbele za HaShem kama sadaka ya kutikisa kwa niaba ya bnei [...]

Posted in 5773, Beha'alotecha, Behaalotecha-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Kuendeleza chuki

Kuendeleza chuki

Bamidbar / Hesabu 1:1-4:20 Hoshea/Hosea 2:1-22 Korintim Alef/1Wakorintho 12:12-20 Bamidbar{3:25}Jukumu la wana wa Gerishoni katika Ohel Moed (Hema ya Kukutania)ni hema yenyewe,paa zake,na pazia ya mlango wake,{3:26}na pazia za nyuani mwake pamoja na pazia ya mlango wa nyua,ambayo imo kati ya hema na mizbeach(madhabahu ya sadaka za kuteketeza) kuizunguka,na kamba zake kwa ajili ya huduma [...]

Posted in 5773, Bamidbar, Bamidbar-ks, Kiswahili, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Nous avons tous des ennemis

Nous avons tous des ennemis

Shemot / Kutoka 21:1-24:18 Yermyahu/Yeremia 34:8-22;33:25-26 Mattityahu/Mathayo 5:38-42 Shemot {23:20}”Tazama,namtuma malaika mbele yako,kukulinda wewe njiani,na kukuleta hadi mahali ambapo nimekuandalia.{23:21} Msikize sana huyo,na uitii sauti yake.Usimuudhi,kwa kuwa hata samehe kutotii kwako,kwa kuwa Jina langu li ndani yake.{23:22} Lakini kama utaitii sauti yake na kuyafanya yote ninenayo,basi,nitakuwa adui wa maadui wako,na mtesi wa watesi wako.{23:23} Kwa [...]

Posted in 5773, Francais - Français, Mishpatim, Mishpatim-fr, Sefer Shemot (Exodus), Torah PortionComments (0)

Sisi Sote Tuna Maadui

Sisi Sote Tuna Maadui

Shemot / Kutoka 21:1-24:18 Yermyahu/Yeremia 34:8-22;33:25-26 Mattityahu/Mathayo 5:38-42 Shemot {23:20}”Tazama,namtuma malaika mbele yako,kukulinda wewe njiani,na kukuleta hadi mahali ambapo nimekuandalia.{23:21} Msikize sana huyo,na uitii sauti yake.Usimuudhi,kwa kuwa hata samehe kutotii kwako,kwa kuwa Jina langu li ndani yake.{23:22} Lakini kama utaitii sauti yake na kuyafanya yote ninenayo,basi,nitakuwa adui wa maadui wako,na mtesi wa watesi wako.{23:23} Kwa [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Mishpatim, Mishpatim-ks, Sefer Shemot (Exodus), Torah PortionComments (0)

Vijisababu-Tunahofu kukataliwa

Vijisababu-Tunahofu kukataliwa

Shemot / Kutoka 6:2-9:35 Yechezkel / Ezekiel 28:25-29:21 Ma’asei Hashlichim / Matendo ya Mitume 7:35-38 Shemot {6:12} Moshe akazungumza mbele za HaShem na kusema,”Tazama bnei Yisrael,wana wa Yisrael,hawakunisikiza mimi.Itawezekanaje Farao anisikize wa midomo isiyofanyiwa B’rit Milah ( isiyotahiriwa)?”{6:13} HaShem akanena na Moshe na Aharon na kuwapa agizo kwa bnei Yisrael na Farao mfalme wa Mitzrayim [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Torah Portion, Va'eira, Vaeira-ksComments (0)

Kuomba Kuhusu Ahadi Za Mungu Ukizielekeza Kwake

Kuomba Kuhusu Ahadi Za Mungu Ukizielekeza Kwake

Bereshit / Mwanzo 32:4-36:43 Ovadyah / Obadia 1:1-21 Mattityahu / Mathayo 26:36-46 Bereshit {32:11}Tafadhali niokoe kutoka mkono wa kaka yangu,kutoka mkono wa Esav(Esau):kwa kuwa ninamwogopa,ili asije akanivamia,em(mama) pamoja na watoto. {32:12}Ulisema,”Hakika nitakutenda mema,na kufanya uzao wako kama mchanga wa bahari kwa wingi,ambao hauwezi kuhesabika.” Baada ya kuisoma parasha ya juma hili,niligundua kuwa HaShem anatuonyesha njia [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayishlach, Vayishlach-ksComments (0)

HaShem anajua unapodanganya!

HaShem anajua unapodanganya!

Bereshit / Mwanzo 47:28-50:26 Melachim Aleph / 1 Wafalme 2:1-12 Mattityahu / Matthayo 27:57-61 Bereshit {18: 13} HaShem akamwambia Avraham,”Kwa nini Sarah amecheka,akisema,’Nitampakata mtoto kweli katika uzee wangu?” {18:14} Je,kuna lililo gumu la kumshinda HaShem? Katika muda uliokusudiwa nitarudi kwako,wakati kama huu mwakani,naye Sarah atapata motto”. {18:15} Ndipo Sarah alipokana nakusema”Sikucheka,” Naye akamwambia,hapana,umecheka” Kwa nini [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayeira, Vayeira-afComments (0)

Baada ya kifo-watakatifu

Baada ya kifo-watakatifu

Vayikra / Walawi 16:1-20-27 Amos/Amosi 9:7-15 Korintim Alef/1 Wakontho 6:9-20 Mattityahu/Mathayo 5:43-48 Vayikra{16:3} Kutokea hapo Aharon atakuja na kuingia Kadosh Kedoshim (Patakatifu Pa Patakatifu) pamoja na fahali kama sadaka ya dhambi na ndume wa kondoo kama (olah) sadaka ya kuteketeza.{16:4} Atavaa koti kadosh (takatifu) ya kitani naye atakuwa na vazi la kitani la ndani juu [...]

Posted in 5772, Acharei-ks, Kedoshim-ks, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah PortionComments (0)

Kutuvika Na Haki Yake

Kutuvika Na Haki Yake

Vayikra / Walawi 6:1-8:36 Malachi / Malaki 3:4-24 Wayahudi Wamasihi / Waebrania 8:1-6 Vayikra{8:1}HaShem akanena na Moshe nakusema,{8:2}Mchukue aharon na wanawe pamoja naye,na mavazi,na mafuta ya kuweka wakfu,na fahali wa sadaka ya dhambi,na kondoo wawili,na kapu la matzah(mkate usio tiwa chachu);{8:3},na ukusanye kehilah(kusanyiko yote katika lango la Ohel Moed(hema ya kukutania).{18:4}Moshe akafanya kama HaShem alivyomwamuru;na [...]

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah Portion, Tzav, Tzav-ksComments (0)

Kufumwa na samawati,zambarau na nyekundu

Kufumwa na samawati,zambarau na nyekundu

Vayikra / Walawi 1:1-5:26 Yeshayahu / Isaya 43:21- 44:23 Ivrim / Ebrania 10:1-18 Kama uonavyo tuna parashot mbili za Torah juma hili.Niliyatafuta mambo yaliyohusiana na kuunganisha parashot hizi mbili pamoja.Nachukua nafasi hii kumshukuru Rabbi Yonatan cahn ambaye kupitia mafundisho yake nimefanya tahariri hii. (Kutoka parashah Vayakhel) Shemot{36:35} Akafanya pazia la samawati,zambarau nyekundu,na kitani safi iliyounganishwa:pamoja [...]

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Vayikra (Leviticus), Torah Portion, Vayikra, Vayikra-ksComments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד