Tag Archive | "yako"

Nous avons tous des ennemis

Nous avons tous des ennemis

Shemot / Kutoka 21:1-24:18 Yermyahu/Yeremia 34:8-22;33:25-26 Mattityahu/Mathayo 5:38-42 Shemot {23:20}”Tazama,namtuma malaika mbele yako,kukulinda wewe njiani,na kukuleta hadi mahali ambapo nimekuandalia.{23:21} Msikize sana huyo,na uitii sauti yake.Usimuudhi,kwa kuwa hata samehe kutotii kwako,kwa kuwa Jina langu li ndani yake.{23:22} Lakini kama utaitii sauti yake na kuyafanya yote ninenayo,basi,nitakuwa adui wa maadui wako,na mtesi wa watesi wako.{23:23} Kwa [...]

Posted in 5773, Francais - Français, Mishpatim, Mishpatim-fr, Sefer Shemot (Exodus), Torah PortionComments (0)

Sisi Sote Tuna Maadui

Sisi Sote Tuna Maadui

Shemot / Kutoka 21:1-24:18 Yermyahu/Yeremia 34:8-22;33:25-26 Mattityahu/Mathayo 5:38-42 Shemot {23:20}”Tazama,namtuma malaika mbele yako,kukulinda wewe njiani,na kukuleta hadi mahali ambapo nimekuandalia.{23:21} Msikize sana huyo,na uitii sauti yake.Usimuudhi,kwa kuwa hata samehe kutotii kwako,kwa kuwa Jina langu li ndani yake.{23:22} Lakini kama utaitii sauti yake na kuyafanya yote ninenayo,basi,nitakuwa adui wa maadui wako,na mtesi wa watesi wako.{23:23} Kwa [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Mishpatim, Mishpatim-ks, Sefer Shemot (Exodus), Torah PortionComments (0)

Hakuna aliye kamili

Hakuna aliye kamili

Shemot / Kutaka 17:1-20:23 Yeshayahu/Isaya 6:1-7:6;9:5-6 Mattityahu/Matayo 5:17-32 Ivrim/WaEbrania 12:18-24 Shemot {18:5} Yitro,baba mkwe wa Moshe,alikuja akiwa na wana wa Moshe pamoja na mke wa Moshe,bintiye Yitro hadi kule nyikani ambako Moshe alikuwa amekita hema,katika Mlima wa Mungu.{18:6} Akamwambia Moshe,mimi mkweo Yitro,nimekujia wewe na mkeo pamoja na wanawe wawili. Sote tunajua kuwa Moshe na mkewe [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Torah Portion, Yitro, Yitro-ksComments (0)

Kuomba Kuhusu Ahadi Za Mungu Ukizielekeza Kwake

Kuomba Kuhusu Ahadi Za Mungu Ukizielekeza Kwake

Bereshit / Mwanzo 32:4-36:43 Ovadyah / Obadia 1:1-21 Mattityahu / Mathayo 26:36-46 Bereshit {32:11}Tafadhali niokoe kutoka mkono wa kaka yangu,kutoka mkono wa Esav(Esau):kwa kuwa ninamwogopa,ili asije akanivamia,em(mama) pamoja na watoto. {32:12}Ulisema,”Hakika nitakutenda mema,na kufanya uzao wako kama mchanga wa bahari kwa wingi,ambao hauwezi kuhesabika.” Baada ya kuisoma parasha ya juma hili,niligundua kuwa HaShem anatuonyesha njia [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayishlach, Vayishlach-ksComments (0)

HaShem Alimfanikisha

HaShem Alimfanikisha

Bereshit / Mwanzo 28:10-32:3 Hoshea / Hosea 12:13-14:10 Yokhanani / Yohana 1:19-51 Bereshit {28:18} Ya’acov akaamka asubuhi na mapema na akalichukua jiwe alilokuwa amelilalia kama mto,akalimwagia mafuta juu yake.{28:19} Akapaita mahali pale Beit-El (Nyumba ya Mungu) lakini jina la mji ule hapo awali ulikuwa ukiitwa Luz.{28:20} Ya’acov akaapa kiapo akisema “Kama HaShem atakuwa pamoja nami [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Sefer Bereshit (Genesis), Torah Portion, Vayeitzei, Vayetze-ksComments (0)

Nitawabariki Watakao Kubariki

Nitawabariki Watakao Kubariki

Bereshit / Mwanzo 12:1-17:27 Yeshayahu / Isaya 40:27-41:16 Romim / Warumi 4:1-12 Bereshit{12:1} HaShem akamwambia Avram(Abram),”Ondoka katika nchi yako,na watu wako,na katika nyumba ya av (baba) yako,uelekee katika nchi nitakayo kuonyesha.{12:2} Nitakufanya kuwa taifa kubwa.Nitakubariki na kulifanya jina lako kuwa kuu nawe utakuwa baraka.{12:3} Nitawabariki watakao kubariki na nitawalaani wakao kulaani.Kupitia kwako,jamaa wote watabarikiwa.” Nilishawishika [...]

Posted in 5773, Kiswahili, Lech Lecha, Lech-Lecha-ks, Sefer Bereshit (Genesis), Torah PortionComments (0)

Pesach (Passover) na Hekalu Takatifu

Pesach (Passover) na Hekalu Takatifu

Devarim/Kumbukumbu La Torati 14:22-16:17 Bamidbar/Hesabu 28:19-28:35 Yeshayahu/Isaya10:32-12:6 Korintim Alef/1 Wakorintho 5:6-8 Devarim{16:5} Huta korban(toa sadaka)pesach(mwana kondoo wa pasaka) katika malango yako yote,ambayo Bwana HaShem Mungu wako amekupa wewe;{16:6} bali katika sehemu ambayo Bwana HaShem wako amechagua,ili kufanya Jina lake kukaa humo,hapo ndipo mtakapo korban pesach wkati wa jioni,jua linapo kuchwa,wakati ule mlipotoka katika nchi ya [...]

Posted in 5772, Jewish Holidays and Festivals, Kiswahili, pesach-ks, Torah PortionComments (0)

HaShem,Wewe Upatianaye Neema Na Hekima

HaShem,Wewe Upatianaye Neema Na Hekima

Shemot / Kutoka 27:20-30:10 Yechezkiel/Ezekiel 43:10-27 Ivrim/WaEbrania 13:10-17 Shemot{28:1}”Mlete Aharon(Haruni) kaka yako,na wanawe pamoja naye,karabu nawe,mbali na bnei Yisrael(wana wa Yisrael,ili anihudumie Mimi katika huduma ya ukuhani,huyo Aharon,Nadav na Avihu,El’azar na Ithamar,wana wa Aharon.{28:2}Utafanya kadosh(takatifu) mavazi ya Aharon kaka yako,kwa kavod(utukufu) na kwa maridadi.{28:3} Utawanenea wote walio na moyo wa hekima,ambao nimewajaza na roho wa [...]

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Tetzaveh-ks, Torah PortionComments (0)

Hekima,Kuona Kwa Undani,na Kutambua

Hekima,Kuona Kwa Undani,na Kutambua

Shemot / Kutoka 6:2-9:35 Yechezkel / Ezekiel 28:25-29:21 Ma’asei Hashlichim / Matendo ya Mitume 7:35-38 Shemot{7:8} HaShem akanena na Moshe(Musa) na Aharon na kusema,{7:9}”Wakati Farao atakapowazungumzia nyinyi na kusema,’Fanyeni muujiza!’basi utamwambia Aharon,’Twaa fimbo yako na uiangushe chini mbele ya Farao,ili iweze kuwa taneen(nyoka).”{7:10} Moshe na Aharon wakaenda mbele za Farao na kufanya vile,kama HaShem alivyo [...]

Posted in 5772, Kiswahili, Sefer Shemot (Exodus), Torah Portion, Vaeira-ksComments (0)

Demokrasia Itatoweka

Demokrasia Itatoweka

BaMidbar/Hesabu 25:10-30:1 Melachim Aleph/1Wafalme 18:46-19:21 Yochanan/Yohana 2:13-25 Bamidbar {27:15} Moshe akanena na HaShem na kusema, {27:16} HaShem, Mungu wa wenye miili wote, na aweke juu ya Kusanyiko, {27:17} atakayetoka yake na kuingia mbele yake; atakayeliongoza litokapo na kulileta ndani; ili Kehilah ya HaShem (kusanyiko) lisiwe kama kondoo wasio na Mchungaji. {27:18} HaShem akamwambia Moshe, Mtwae [...]

Posted in 5771, Kiswahili, Pinchas-ks, Sefer Bamidbar (Numbers), Torah PortionComments (0)

Parashat Beha'alotcha
Torah Portion: Numbers 8:1-12:16


  1. Bamidbar 8:1-14 (Sunday)
  2. Bamidbar 8:15-26 (Monday)
  3. Bamidbar 9:1-14 (Tuesday)
  4. Bamidbar 9:15-10:10 (Wednesday)
  5. Bamidbar 10:11-34 (Thursday)
  6. Bamidbar 10:35-11:29 (Friday)
  7. Bamidbar 11:30-12:16 (Saturday)

Haftarah / Prophets

  • Zechariah 2:14 - 4:7 (Saturday)

Besorah / Good News

  • 1 Corinthians 10:6-13 (Saturday)
Radio Mashiach
Sifrei Chaim - Messianic Jewish Judaica
Tzedakah
Find out on Facebook

Important Links

Special links

  • Offering New Alternatives to Homosexuality
Contact us

A Torah centred Messianic Jewish יהודים משיחים kehila, Toronto, Ontario, Canada - An ever changing Messianic Jewish website till King Mashiach Yeshua comes back!!!
אנחנו רוצים משיח עכשיו / Мы хотим Машиаха сейчас / We Want Mashiach Now / Queremos al Mashiaj ya - יחי אדוננו מורנו ורבינו מלך המשיח לעולם ועד