Shemot / Kutoka 10:1-13:16 Yirmeyahu / Yeremia 46:13-28 Romim / Warumi 9:14-24 Shemot {10:7} Watumishi wa Farao wakamwambia,”Mpaka lini ish (mtu)huyu atakuwa mtego kwetu? Acha watu hawa waende wakamtumikie HaShem Mungu wao.Huoni wewe yakuwa Mitzrayim (Misri) imeangamia? {10:8} Moshe na Aharon wakaletwa tena mbele za Farao,na akawaambia,”nendeni mkamtumikie HaShem Mungu wenu;lakini ni nani hao waendao?”{10:9} [...]









